Common Sense is not Common to everyone

Common Sense is not Common to everyone






Friday, May 21, 2010

Zahir Zoro akihukumu

Thursday, May 20, 2010

Hemed Suleiman Mwigizaji na mwanamuziki wa bongo flava akiwa na Pili Malundila mwalimu wa dansi na ngoma za asili kutoka chuo cha sanaa bagamoyo

Witness Mwaisaga (mwanamuziki wa bongo flava) na Mwalimu wake Mwombeki Crispine Gaitano aka Mo Love

Michael Philip aka Kojak Mwigizaji wa filamu na Maureen Mvuoni mwalimu wa ngoma za asili na dansi wakiserebuka

Chege!!! Mwanamuziki wa Bongo flava akisakata salsa na Pili Hasani (Mwalimu wa ngoma za asili na pia ni dansa kutoka chuo cha sanaa bagamoyo)

Juma Kissoky(mchezaji wa mpira wa kikapu) na Honorata Ng'itu(mchezaji wa ngoma za asili na dansi kutoka chuo cha sanaa mbaye kikazi ni afisa utamuduni wa wilaya ya ILALA -DSM)

Joan Matovolwa akihukumu